![]() |
| Mjumbe wa kamati ya siasa na halmashauri ya wilaya Bw.Emmanuel Mwakasaka alipata fursa ya kusalimia wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wa Kampeni |
![]() |
| Mjumbe wa kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora mjini Bw.Ali Kazikupenda akizungumza katika kampeni hizo za uchaguzi wa Serikali za mitaa. |
![]() |
| Mwenyekiti wa chama cha Jahazi Asilia mkoani Tabora Bw.Apolo Ndali akiwaombea kura wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakati wa kampeni ya uchaguzi wa Serikali za mitaa. |
![]() |
| |
![]() |
| Kiongozi wa waangalizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa akishuhudia kampeni ya CCM kata ya Mbugani. |










No comments:
Post a Comment