Pages

KAPIPI TV

Saturday, December 20, 2014

AJALI YAUA WATU WAWILI,YAJERUHI 25-BARABARA YA KIGWA, TABORA

Baadhi ya wauguzi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete wakiwapatia huduma za matibabu watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari huko barabara ya Kigwa-Nyahua,...Imeelezwa kuwa watu hao ambao ni wafanyakazi wa moja ya kampuni ya wachina inayojenga barabara ya kutoka Kigwa kuelekea Nyahua ambapo magari mawili yakiwa yamewabeba wafanyakazi hao kuwapeleka eneo la kazi yalikuwa yakifuatana kwa mwendo wa kasi hatimaye gari kugonga jingine kwa nyuma....Watu wawili wamefariki na wengine 25 kujeruhiwa vibaya ambao wamelazwa katika hospitali hiyo huku hali zao zikiwa si za kuridhisha.(Picha na Mrisho Juma 0783 626771)


No comments: