Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando
(kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya
kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya kutoka kwa Mwakilishi
wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia). Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando
(kushoto)akipokea mojaya funguo kati ya magari manne kutoka kwa
Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia)
Baadhi ya wa magari hayo .
No comments:
Post a Comment