Pages

KAPIPI TV

Thursday, October 30, 2014

NHIF WATOA HUDUMA ZA UPIMAJI WA AFYA KWA WACHEZAJI WANAOSHIRIKI MASHINDANO YA SHIMISEMITA-MOROGORO

Afisa Masoko na Elimu kwa Umma Bi. Catherine Kameka akiwasajili baadhi ya Wanamichezo wa SHIMISEMITA waliofika katika banda la  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Hamidu Mwambungu akimpima uzito mmoja wa washiriki wa mashindano ya SHIMISEMITA
Daktari  Anjela Ndomba ( kushoto) akimpima shinikizo la damu mmoja wa wachezaji wanaoshiriki mashindano ya SHIMISEMITA yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Madaktari wa NHIF wakitoa ushauri wa kiafya kwa wachezaji wanaoshiriki mashindano ya SHIMISEMITA mkoani Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya SHIMISEMITA wakisubiri kupata huduma katika banda la NHIF





No comments: