Pages

KAPIPI TV

Thursday, September 11, 2014

MWANAMKE AOKOTWA IGUNGA AKIWA TAABANI,NGUO ZALOWA DAMU!!

Mwanamke mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Sarah  ameokotwa  na askari Polisi huko wilayani Igunga maeneo ya Masanga akiwa na michubuko mikononi na miguuni huku nguo zake zikiwa zimelowa kwa damu.Taarifa zilizotolewa na Afisa Maendeleo ya Jamii Bi.Mwashamba Kapipi zimethibitisha kuwa mwanamke huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga hajatambulika na hawezi kuelezea kwa kirefu kwa mkasa uliompata.Mwashamba ametoa wito kwa jamii yeyote atakaye mtambua mwanamke huyo awasiliane nae kwa simu no. 0714 335929 au 0754 976520 au 0784 761776. 

No comments: