Pages

KAPIPI TV

Saturday, September 13, 2014

KITUMBO ASHANGAZWA NA VIPAJI VYA SOKA KWA VIJANA VIJIJINI - TABORA

Mwenyekiti  wa Chama cha Soka mkoani Tabora  Yusuph Kitumbo akitoa zawadi ya kombe kwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuibua vipaji vya Soka kwa vijana  katika kata ya Ikomwa ambapo Kitumbo mbali na kuwa mgeni rasmi katika mashindano hayo alielezea kuridhishwa kwake na vipaji vya vijana waliopo vijijini katika mchezo huo wa Soka.
Zawadi ya mpira kwa mshindi wa pili

No comments: