Mbunge wa vitimaalumu mkoa wa Tabora Mh.Munde Tambwe na mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh.Aden Rage ambao wamepata ajali ya gari wakati wakisafiri kutoka Tabora kwenda Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge maalumu la Katiba,Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa wabunge wa Tabora ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Sikonge Mh.Said Nkumba ameuambia mtandao wa KAPIPIJhabari.COM kuwa wabunge hao wanaendelea na matibabu na hali zao zinaendelea vizuri ingawa awali hali ilikuwa si ya kuridhisha....KAPIPIJhabari.COM inawapa pole wabunge hao kwa ajali waliyoipata na kwamba MwenyeziMungu atajalia watapona na kurejea katika kazi ngumu ya kuwapatia wananchi katiba mpya. |
No comments:
Post a Comment