Mwenyekiti
wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba
(katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi
wa Dini wa kurudi Bungeni.kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema,Mh. Freeman
Mbowe na wa pili kulia ni Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James
Mbatia.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa.
Viongozi
wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono
kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko
la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.kutoka kulia
ni Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi,Mosena Nyambabe,Mwenyekiti wa
Chadema,Mh.Freeman Mbowe ,Mwenyekiti wa CUF,Profesa Ibrahim
Lipumba,Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James Mbatia na Katibu Mkuu wa
Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa wakiwa nje ya makao makuu ya cuf.
No comments:
Post a Comment