Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa
Mzungumzaji Mkuu katika Kongamano la kuvutia wawekezaji nchini
lililofanyika jana Washington DC, Marekani. Wengine pichani kutoka kulia
ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani nchini
Tanzania Mhe. Mark Childress.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Mhe. Liberata Mulamula akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji
nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa
Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi akifafanua kwa kina fursa za
uwekezaji katika sekta ya utalii wakati alipokuwa akiongea katika
Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC,
Marekani.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo
cha Uwekezaji nchini Bi. Julieth Kairuki akisisitiza jambo wakati
alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini
lililofanyika Washington DC, Marekani.
Meza Kuu ya Wazungumzaji katika
Kongamano la kuvutia wawekezaji nchini lililofanyika Washington DC,
Marekani. Kutoka Kushoto ni Mwezeshaji Bw. Kamran Khan; Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu; Waziri wa Uchukuzi Mhe.
Harrison Mwakyembe; Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Bi. Devota
Mdachi na Uwekezaji nchini lililofanyika
No comments:
Post a Comment