Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi,
mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye ni Mtanzania,
Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo
Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali
Hassan Mwinyi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an,
Hatham Sadar, kutoka nchini Kenya wakati wa hafla ya hitimisho la
mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa katika picha ya
pamoja na washindi watatu wa mashindano hayo baada ya kukabidhiwa zawadi
zao. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais
Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mashindano hayo baada ya
kukabidhiwa zawadi zao. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa katika picha ya
pamoja na washindi watatu na majaji wa mashindano hayo baada ya zoezi la
kukabidhi zawadi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee baada ya kukabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya kuhifadhi
Qur-an, yaliyomalizika leo Julai 20, 2014, jijini Dar es Salaam. Picha
na OMR

No comments:
Post a Comment