Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF), Ado Novemba
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba
(kulia), akizungumza na wadau wa Muziki wa Injili Tanaznia Hoteli ya
Wanyama Sinza Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF), Ado Novemba (kushoto), akizungumza
na wadau wa Muziki wa Injili Tanaznia Hoteli ya Wanyama Sinza Dar es
Salaam leo kabla ya kumakribisha mgeni rasmi wa mkutanmo huo, Mhe.
January Makamba.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba, akisalimiana na Mzee Makassy.
Mwimbaji, Adelita Mshumba akitoa burudani katika mkutano huo.
Wanamuziki wa nyimbo za Injili wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Enock Jonas, Dyna Sakatebela na Joyce Ombeni.
Viongozi
mbalimbali na wadau wa muziki wa Injili wakiwa wamejipanga foleni
wakati wakisubiri kumpokea mgeni rasmi wa mkutano huo, Mhe.January
Makamba.
Mwanahabari wa Kituo cha TV 1, Gervas Mwaitebela naye alikuwepo kupata taarifa za mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba,
akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Doreen Sinare.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET),
John Kitime.
Rais
wa Shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF), Ado Novemba
(kushoto), akimuongoza mgeni rasmi Mhe. January Makamba kuingia
ukumbini.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau wa muziki wa Injili wakiwa kwenye mkutano huo.
Katibu wa Shirikisho la Muziki wa Injili John Shaban akiendesha mkutano.
Wadau wa eneo la usambazaji wa kazi za wanamuziki wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau wa muziki wa Injili wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET), John Kitime, akizungumza na wadau hao katika mkutano huo
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Doreen Sinare (kulia), akitoa ufafanuzi wa
masuala mbalimba kwa wadau wa muziki wa Injili. Wa pli kulia ni Muimbaji
wa nyimbo za Injili, Christina Shusho.
Balozi
mstaafu, Profesa Coster Mahalu akizungumza na wadau wa muziki wa nyimbo
za Injili. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kinondoni Revival Choir, Dk.
Jotham Mackenzie
Wadau wa muziki wakiwa kwenye mkutano huo wakifuatiliamambo mbalimbali.
Wadau wa muziki wakiwa kwenye mkutano huo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment