![]() |
| Wakati wanakijiji wa Ugembe wakichangamkia kurejesha Kadi za Chadema baada ya kukosa matumaini |
![]() |
| Wanachama wapya wa CCM wakifanya kiapo cha kujiunga na chama hicho. |
![]() |
| Katibu wa CCM Bw.Kajoro akisoma kanuni za mwanachama wa CCM ikiwa ni ishara ya kiapo cha uanachama baada ya kujiunga na chama hicho. |
![]() | |
| Mwanachama mpya wa CCM akiisoma vizuri kadi yake baada ya kupatiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Bw.Idd Ali Ame. |










No comments:
Post a Comment