Baadhi ya wasaidizi wa Kisheria ambao wamehitimu mafunzo awamu ya nne wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji ambao ni Mawakili,Wasaidizi hao wa kisheria(Mawakili Jamii) mara baada ya kukamilisha awamu wa tano wataanza kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mkoani Tabora. |
No comments:
Post a Comment