| Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Uyui Bw.Said Ntahondi akizungumza katika ufungaji wa Mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tabora ambapo alisisitiza wadau hao kutekeleza kwa vitendo maazimio 13 yaliyofikiwa katika mkutano huo yakiwa na lengo la kuboresha huduma za mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF pamoja na kuhamasisha jamii ijiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF ambapo utaratibu wa Tiba kwa Kadi utasaidia jamii kupata huduma za matibabu kwa kila Kaya. |
No comments:
Post a Comment