RAIS Dr.SHEIN AONDOKA NCHINI
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
(kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif
Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini
kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na
wazee wa Chama katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondika kuelekea
nchini Uingereza kwa safari maalum.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment