Pages

KAPIPI TV

Tuesday, June 17, 2014

UHAMASISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII CHF IGUNGA WAZIDI KUIMARIKA

Imeelezwa kuwa uhamasishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii CHF umezidi kuimarika wilayani Igunga baada ya mkuu wa wilaya hiyo Bw.Elibariki Kingu kuamuru kuwa ajenda muhimu mahali popote wananchi wanapokutana ambapo viongozi wametakiwa kutumia fursa hiyo kuihamasisha jamii ijiunge na mfuko huo ambao utasaidia kupatikana huduma za matibabu kwa kutumia Kadi kwa kila Kaya.

No comments: