Pages

KAPIPI TV

Wednesday, June 25, 2014

TUME YA HAKI ZA BINADAMU WASHAURIWA KUFUATILIA UKIUKWAJI WA HAKI BADALA YA KUSUBIRI MALALAMIKO-TABORA

Mchambuzi mkuu wa mifumo ya habari na mawasiliano Bw.Wilfred Warioba akizungumza na wananchi Tabora mjini wakati wa uhamasishaji kuhusu wananchi kujitokeza kuwasilisha malalamiko yao ambapo wananchi walipata fursa ya kuuliza maswali na kuishauri Tume ya haki za binadamu na utawala bora ijenge utaratibu wa kufuatilia matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu badala ya kusubiri kuletewa malalamiko hatua ambayo wananchi walieleza kuwa Tume haitafanikiwa na kufikia malengo ya kupambana na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini.
Mmoja kati ya maafisa wa Tume ya haki za binadamu Bi.Caroline Shao ambaye ni Afisa uchunguzi mwandamizi
Baadhi ya wananchi waliokusanyika katika mkutano wa Tume ya haki za binadamu na utawala bora ulifanyika viwanja vya Stand ya Zamani Tabora mjini.




No comments: