Mratibu wa Chadema kanda ya magharibi Bw.Christopher Nyamwanji akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi kuu za Chama hicho kanda ya magharibi Tabora mjini wakati alipokuwa akikanusha tamko la baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuwa ni wa Chadema waliofanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar-es-salaam ambao walikuwa wakiutuhumu uongozi wa Chadema ngazi ya juu kuhusika na ubadhirifu jambo ambalo alisema kuwa si kweli na kwamba viongozi hao waliotoa tamko hilo wanatumiwa na Chama kipya cha ACT kinachodaiwa kuanzishwa na Bw.Zitto Kabwe,hatua ambayo sasa imeonesha mgawanyiko mkubwa ndani ya Chadema. |
No comments:
Post a Comment