Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa
Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu
yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na
mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo
mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wajumbe wenzake wa
kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika unaofanyika Mjini
Malabo, Equatorial Guinea.
Viongozi wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika wakiwa kwenye picha ya Pamoja.(Picha na IKULU)
No comments:
Post a Comment