Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni katika
banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika Maonesho ya wiki ya
Utumishi wa Umma aliyoyafunga jana. Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alitumia fursa hiyo pia kupima afya
yake katika banda la upimaji afya la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto akipokea cheti cha ushindi wa banda bora katika maonesho hayo.
Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael akionesha kombe
lililokabidhiwa kwa NHIF na Balozi Ombeni Sefue baada ya kuwa washindi. Maofisa wa NHIF wakifurahia ushindi Maofisa wa NHIF wakifurahia ushindi
Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro kushoto, Grace
Michael (Katikati) na Meneja Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray
wakifurahia ushindi.
No comments:
Post a Comment