Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu
baada ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na, wakati wa
Sherehe za kijadi na maadhimisho ya siku ya ngoma na nyimbo za kabila la
kisukuma zilizofanyika Wilayani magu mkoani Mwanza jana Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na wananchi wa kijiji cha kisesa baada ya kuzindua
Mashindano ya Ngoma na Nyimbo za kabila la Wasukuma zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Kisesa Wilayani Magu Mkoni Mwanza jana . .Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipiga Ngoma kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Ngoma na Nyimbo
katika Maadhimisho ya Tamasha la Jadi la Wasukuma kwenye Uwanja wa
Kisesa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza jana. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsalimia Mtoto fredrik Emmanuel Mara Baada ya Kumalizika kwa
Sherehe za Uzinduzi wa tamasha la Ngoma na Nyimbo za Kabila la wasukuma
zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza jana
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha kisesa mkoani mwanza, Wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, alipokua akiwahutubia kwenye Uzinduzi wa Mashindano ya Ngoma na
Nyimbo za kabila la kisukuma zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa
Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza jana. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia Ngoma ya Kabila la Wasukuma wakati wa Tamasha la siku ya
Bulabo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa Wilayani Magu Mkoa wa
Mwanza jana. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na wananchi wa kijiji cha kisesa baada ya kuzindua
Mashindano ya Ngoma na Nyimbo za kabila la Wasukuma zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Kisesa Wilayani Magu Mkoani Mwanza jana
No comments:
Post a Comment