Pages

KAPIPI TV

Wednesday, June 18, 2014

MUNDE APIGANIA MIKOPO NAFUU YA MAMA LISHE WA TABORA-BUNGENI

Mbunge wa vitimaalumu mkoani Tabora Bi.Munde Tambwe akichangia mjadala wa Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2014/2015 ambapo alipata fursa ya kupigania mikopo nafuu kwa wanawake Mama Lishe wa mkoani Tabora,huduma za afya kwa maana ya Ujenzi wa hospitali ya wilaya na ajira kwa vijana katika sekta binafsi.Mama lishe na vijana baada ya kumsikiliza mbunge huyo kupitia Luninga leo hii wamempongeza kwa kuonesha nia ya kuwatetea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments: