Waziri
Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akihutubia viongozi mbalimbali
wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi katika Jukwaa
la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika
Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao akiwahutubia
baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani
na nje ya nchi katika Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na
China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginard Mengi akitoa hotuba yake fupi kwa
viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya
nchi katika Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China
lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini
Dar es Salaam. Baadhi
ya wajumbe wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi
wakifatilia hotuba zitolewazo na viongozi kuhusiana na maendeleo makubwa
ya kibiashara yafanywayo na Serikali ya Tanzania na ya Jamhuri ya Watu
wa China leo katika katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini
Dar es Salaam. Viongozi
kutoka Serikali ya China na Tanzania wakitiliana saini mikataba ya
makubaliano inayohusu miradi ya maji yenye lengo ya kuisaidia Tanzania
katika sekta ya maji wakati wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya
Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam. Viongozi

kutoka Serikali ya China na Tanzania wakibadilishana mikataba mara
baada ya kutiliana saini leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akimshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kushoto) mara baada ya kukabidhi pikipiki kwaajili ya Jeshi la Polisi Tanzania leo baada ya kukamilisha mkutano wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya China Tanzania lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (wa saba toka kushoto, mstari wa mbele waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) walipokutana leo baada ya kukamilisha mkutano wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya China Tanzania lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.

No comments:
Post a Comment