Pages

KAPIPI TV

Monday, May 26, 2014

KINANA AFANYA MKUTANO MKUBWA SINGIDA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi waliokuwa kando ya barabara alipokaribia kuingia kwa bajaji kwenye viwanja vya Peoples mjini Singida kwenye mkutanono huo wa hadhara, Nyuma yake ni Nape akiwa pia kwenye bajaji (Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungua mkono wananchi alipowasili kwenye Viwanja vya Peoples kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Singida, leo. Pamoja naye ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara ) Mwigulu Nchemba na katibu wa NEC itukadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto). (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii, lwenye Viwanja vya Peoples mjini Singida, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi katika mkoa huo wa Singida. (Picha na Bashir Nkoromo)



No comments: