Kada wa Chama cha Mapinduzi Bw.Hussein Bashe akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kampala iliyopo wilayani Nzega,ambapo wanafunzi hao walionesha kumshangilia sana kwa kile kinachodaiwa kuwa Bashe amekuwa karibu sana na Shule hiyo katika kukabiliana na Changamoto za elimu kwa wanafunzi hao ikiwa ni pamoja na kutoa misaada mbalimbali.
Mbunge wa jimbo la Nzega Mh. Khamis Kigwangala akimpongeza Mjumbe
wa mkutano mkuuu wa CCM Bw. Hussein Bashe mara baada ya kuchangia
ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Nkiniziwa, katikati ni Nape Nnauye Katibu
wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. |
No comments:
Post a Comment