Pages

KAPIPI TV

Saturday, April 12, 2014

WANAFUNZI WA SAUTI WANACHAMA WA CHADEMA TABORA WALALAMIKIA UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA

Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa Chuo cha SAUT anbao ni wanachama wa Chadema CHASO wakizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chadema Kanda ya Magharibi ambapo walilalamikia uboreshwaji wa daftari la mpiga kura kabla ya kuelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa.Mbali na hilo CHASO wameazimia kwa kauli moja kususia zoezi la kupigia kura upitishwaji wa rasimu ya pili ya katiba mpya kabla ya kuboresha daftari la mpiga kura.

No comments: