Baadhi ya wakazi wa Tabora mjini wakiwa katika maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka ambapo uchunguzi wa Mtandao huu umebaini kuwa kumekuwa na idadi ndogo ya watu wanaojitokeza kufanya maandalizi ya Sikukuu hii ikilinganishwa na miaka iliyopita jambo ambalo hadi sasa halijafahamika kama limetokana na hali ngumu ya maisha au Sikukuu inapoteza shauku ya kusheherekea.
No comments:
Post a Comment