| Diwani wa Kata ya Tambukareli Bw.Salumu Luzila akishirikiana na wananchi wa kata hiyo mtaa wa Nkonkole kuchimba mtaro wa kuweka bomba la maji safi kwa ajili ya wananchi wa eneo hilo ambapo Mamlaka ya Maji Safi Tabora mjini wamelazimika kuweka huduma hiyo ya maji kwa wakazi hao. |
No comments:
Post a Comment