Mwasiti ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nzubuka manispaa ya Tabora ameuambia mtandao huu wa KAPIPIJhabari.COM kuwa mumewe amekuwa akimfanyia matukio mbalimbali ya ukatili kwa muda mrefu sasa na amekuwa akijaribu kuachana naye mara kadhaa lakini inashindikana,Matukio ya vitisho vya kuuawa yanayokwenda sambamba na vipigo imekuwa ni hali ya kawaida lakini jambo baya zaidi linaloendelea kumhuzunisha ni pamoja na hilo la kumbaka mtoto huyo ambalo limedumu kwa muda wa miaka miwili sasa. |
No comments:
Post a Comment