Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba, Dakta Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya
MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata matibabu.
Dk
Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani Oktoba 2 Mwaka huu
nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na
kulazwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi) na baadaye kuhamishiwa
Hospitali ya Milpark, Johannesbarg, Afrika Kusini.
Mauti yamemkuta Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu.Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.
Dakta Sengodo Mvungi enzi za uhai wake.
No comments:
Post a Comment