![]() |
| "Kwani vipi si nimempiga mimi ambaye ndiye ninamlea tatizo liko wapi?"Dickson alisikika akiwajibu askari Polisi walioshudia tukio hilo. |
![]() |
| Baadhi ya askari Polisi wa Kituo cha mabasi Tabora mjini wakiwa na mtoto huyo huku Dickson naye akiwekwa chini ya ulinzi mkali. |
![]() |
| Dickson akiwa chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na tukio hilo la kibabe. |







No comments:
Post a Comment