Mmoja kati ya wapiga debe kituo kipya cha mabasi Tabora mjini akiwa amekamatwa baada ya kufanya kazi yake ya uuzaji wa tiketi pasipo kuvaa sare rasmi iliyoainishwa na kukubaliwa na Sumatra. |
Hawa ndio wapiga Debe wakiwa na Sare inayokubalika katika Kituo Kipya cha mabasi mjini Tabora. |
No comments:
Post a Comment