Pages

KAPIPI TV

Thursday, August 15, 2013

SHIDA YA MAJI TABORA HUENDA IKABAKI KUWA HISTORIA!!!

Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji Safi na Maji taka mjini Tabora Tuwasa Injinia Mkama Bwire akisimamia matengenezo ya njia kuu za maji yanayoingia Tabora mjini kwa ajili ya matumizi ya wakazi wa maeneo mbalimbali manispaa ya  Tabora,Imeelezwa kuwa kutokana na Mradi  huo  mkubwa ambao  unaendelea na matengenezo  makubwa,tatizo  la  maji  litakuwa ni historia  kwa siku zijazo kwakuwa pampu mpya zimeongezwa pamoja na  mabomba  makubwa  na  uenezaji  wa  mtandao  wa  maji safi.    

No comments: