Pages

KAPIPI TV

Thursday, August 15, 2013

"KAMA HIVI INAWEZEKANA BASI KUNA HAJA YA KUWAULIZA VITAMBULISHO HALALI KABLA YA......"

New Picture 2 10540
Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa jana mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
P.T

Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa jana akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake. 

Hata hivyo inasemekana kamanda  huyu  feki alipoulizwa kuhusu sare hizo alipozipata alieleza kuwa alizipata mkoani  Tabora  kwa  askari mmoja ambaye kwasasa ni marehemu na hivyo kuamua kusaidia kazi za usalama barabarani pale inapobidi ikiwa ni pamoja na kutoza faini za papo hapo kwa baadhi ya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani.


No comments: