Watoto yatima wa Kituo cha kuwalea cha Igambiro wakati walipotembelea Bwawa la Igombe ambalo linalohudumia zaidi ya watu milioni tatu waishio eneo la Manispaa ya Tabora....Taasisi ya Kutayba Saccos ndiyo iliyoratibu na kuandaa safari ya watoto hao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid-El Fitri.
No comments:
Post a Comment