KATIBU WA JUMUIYA YA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA SHEIKH ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA
RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA
RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA
ULINZI WA POLISI KAMA SMS MBALIMBALI
KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.
PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU
TANZANIA LEO IMETOA TAARIFA ZA TUKIO HILO NA HUKU IKILAANI VIKALI KUPIGWA RISASI SHEIKH PONDA NA KWAMBA KAMA ALIKUWA NA HATIA KITENDO CHA KUMPIGA RISASI SIO SULUHISHO BALI NI KUONGEZA CHUKI MIONGONI MWA JAMII.(picha na S Magambo)
No comments:
Post a Comment