RAIS OBAMA NA RAIS KIKWETE WATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SYMBION UBUNGO
Rais
Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar
es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani
alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion
power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment