Pages

KAPIPI TV

Thursday, May 9, 2013

"DR.KAFUMU NI MBUNGE HALALI WA JIMBO LA IGUNGA"-MAHAKAMA YA RUFAA

Dr.Dalali Peter Kafumu mbunge halali wa jimbo la Igunga - Mahakama ya Rufaa kanda ya Tabora.
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya Chadema  Mwalimu Joseph Kashindye mstari wa pili kutoka kulia ni mtu wa pili aliyevaa sare ya Chadema akizungumza jambo na mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Tabora muda mfupi kabla ya kutolewa kwa maamuzi ya Mahakama ya Rufaa dhidi ya kesi ya kutenguliwa Ubunge Dr.Dalali Kafumu.
Baadhi ya viongozi wa Chadema na CCM ngazi za wilaya wakiwa mahakamani kushuhudia kesi ya rufaa ya kutenguliwa kwa matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Igunga Dr.Kafumu

Viongozi wa Chadema wakitoka nje ya mahakama  baada ya Dr.Kafumu kurejeshewa Ubunge wa Jimbo la Igunga.





No comments: