WAKRISTO NZEGA WALIOMBEA TAIFA AMANI DHINI YA VURUGU ZA KIDINI
Baadhi ya waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo wilayani Nzega wakisikiliza mahubiri wakati wa Ibada maalumu ya kuliombea Taifa dhidi ya vurugu za kidini zinazonyemelea katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Viongozi wa Umoja wa Makanisa wilayani Nzega wakiwa jukwaani wakati wa maombezi ya Ibada ya kuliombea Taifa amani dhidi ya vitendo vya vurugu za kidini.
Waumini wakiwa wamesimama katika Ibada hiyo iliyochukua zaidi ya saa tano iliyofanyika mjini Nzega.
No comments:
Post a Comment