Pages

KAPIPI TV

Wednesday, October 31, 2012

MAFUTA YA PETROL YAWATESA TABORA

Baadhi ya watumiaji wa nishati ya mafuta ya Petrol mjini Tabora wakiwa katika foleni ambayo inadaiwa kuanza mnamo majira ya saa kumi alfajiri ya leo,bidhaa ya mafuta ya Petrol mkoani hapa imeadimika kwa zaidi ya siku saba huku ikizidi kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri wa moto vinavyotumia nishati hiyo...Picha na Mrisho Juma - 0754 998680  au  0783 626771.

No comments: