Baadhi ya wanawake waishio katika vijiji vya Mwamsonga vinavyodaiwa kuwa ndani ya eneo la hifadhi ya Nyahua kati ya wilaya za Sikonge na Uyui mkoani Tabora wakiwa wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora wakituhumiwa kwa makosa matatu likiwemo la kuingia ndani ya hifadhi na kuweka makazi yao humo,watuhumiwa hao ambao idadi yao ni 26 leo wanapandishwa tena kizimbani kusomewa hukumu ya kesi inayowakabili chini ya hakimu mkazi Jocktan Rushwela baada kupatiwa maelezo ya kesi kutoka kwa mwanasheria wa Serikali Miraji Kajiru.
Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ya kuingia katika hifadhi ya misitu ya Nyahua kinyume cha sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002 kifungu cha 84(1)(a) na (5).
Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ya kuingia katika hifadhi ya misitu ya Nyahua kinyume cha sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002 kifungu cha 84(1)(a) na (5).
No comments:
Post a Comment