Basi
 la kampuni ya Dar Express lililokuwa linafanya safiri zake Arusha – Dar
 es Salaam limeteketea kwa moto mchana huu maeneo ya Segera mkoani 
Tanga.
Mpaka sasa hakuna taarifa za Majeruhi au watu waliokufa katika tukio hilo.
Tutazidi kuwajuza hivi punde.
 
 
No comments:
Post a Comment