Pages

KAPIPI TV

Thursday, September 20, 2012

RUFAA YA LEMA YAPIGWA TAREHE,HADI OKTOBA 2 MWAKA HUU



 Picha juu na chini  ni Msafara wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema ukitokea mahakamani mkoani Arusha kuelekea ofisi za chama huku ukisindikizwa na umati wa wafuasi wa CHADEMA baada ya kuahirishwa kwa kesi inayomtuhumu.



Gari ya Godbless Lema ikisukumwa na wafuasi wa CHADEMA kuelekea ofisi za Chama mkoani humo. (Picha na http://woindeshizza.blogspot.com)

No comments: