Pages

KAPIPI TV

Monday, September 24, 2012

MAKAMU MEYA MANISPAA YA TABORA WAZIRI MLENDA AHIMIZA KUWATENDEA WEMA WAZEE

 Makamu Meya wa halmashauri ya manispaa ya Tabora Waziri Mlenda akikata utepe ikiwa ni ishara ya ufun guzi wa nyumba ya Mzee Laurent Mchele katika kijiji cha Uramba kilometa kumi kutoka mjini Tabora.
 Makamu Meya akimkabidhi Mzee Laurent kiasi cha shilingi laki moja kama mchango wa pongezi za kupata nyumba bora katika kijiji cha Uramba.
 Baadhi ya madiwani waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa jengo hilo ambapo umati mkubwa wa wananchi walihudhuria.
 Mzee Laurent akijaribu kuzungumza na baadhi ya viongozi wakati wa hafla hiyo.
 Huu ni wakati muafaka....!!!!
 Jikoni mambo yalikuwa hivi!!!!!!!
 Bw.John Mchele akijaribu kutembelea maeneo ya jikoni kuangalia utaratibu wa maakuli...!!!!!
 Wadau wa maendeleo katika manispaa ya Tabora nao pia walihudhuria katika ufunguzi huo.
 Hii ndio nyumba iliyofunguliwa ambayo imejengwa kwa thamani ya shilingi milioni kumi na laki nne na nusu.
 Afisa mtendaji kata ya Chemchem Bw.Mzelela ambaye katika hafla hiyo alikuwa ni msimamizi mkuu wa masuala ya maakuli na vinywaji.
 Hapa ni ndani ya nyumba hiyo baadhi ya madiwani waliingia kushuhudia kukamilika kwa nyumba hiyo.
 Mmoja kati ya wadau wa maendeleo aliyehudhuria sherehe hizo akiwa ndani ya nyumba hiyo akitia baraka zake.
 MAAKULI SAFI...!!!
 Baadhi ya viongozi waliohudhuria
 Namna wageni waalikwa walivyokuwa wakisikiliza kwa makini kama Bw.William Masubi alivyotulia katika hafla hiyo.



No comments: