Pages

KAPIPI TV

Thursday, July 19, 2012

WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA NA TABORA KATIKA MAFUNZO YA INTERNET KWA VITENDO"Yameandaliwa na MISA Tanzania"

 Mwezeshaji wa mafunzo hayo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoa ya Tabora na Shinyanga,Flora Rugashoborola akitoa maelekezo kwa vitendo kwa waandishi wa habari Grayson Kakuru wa TBC,Makunga Peter wa Radio FreeAfrica/Startv pamoja na Charles Hilila wa Channelten,Mafunzo yaliyoandaliwa na MISA Tanzania.  
Juma kapipi wa Channelten akiwa ni miongoni mwa wanafunzi wa mafunzo hayo ya Internet yaliyofanyika katika Chuo cha Veta Shinyanga.
Baadhi ya waandishi wa habari ambao walishiriki mafunzo hayo wa kwanza kutoka kushoto ni Editha Edward wa Shinyanga
 Robert Kakwesi wa Radio FreeAfrica/Startv akiwa ni mmoja wa walioshiriki mafunzo hayo ya siku tatu. 
 Waandhishi wakiwa darasani katika mafunzo ya Internet katika chuo cha Veta mjini Shinyanga.

No comments: