Pages

KAPIPI TV

Thursday, July 19, 2012

PICHA ZA MATUKIO BAADA YA AJALI YA MELI HAPO JANA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA HALI ILIKUWA HIVI LEO HII

Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
Baadhi ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na  kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na  kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Maiti zikihifadhiwa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar tayari kwa utambuzi wa ndugu na jamaaa.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa na Jamaa zao.
Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya skagit iliozama  hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.

No comments: