Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi
Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na
Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za
ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe
Zanzibar.
|
Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na
Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika
Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri. |

Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki
kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze
kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo
katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
|
No comments:
Post a Comment