Pages

KAPIPI TV

Thursday, May 3, 2012

WALIMU 107 WAHITIMU MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA TABORA

 Mkuu wa Chuo cha Ualimu Tabora (TTC)Sister Agness Awaki wakati akisoma hotuba fupi katika mahafali ya 18 ya Chuo hicho.
 Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu TTC wakipokea zawadi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Moshi Chang'a
 Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Moshi Chang'a akitoa zawadi kwa mkuu wa Chuo cha TTC Sister Agness Awaki  ikiwa ni ishara ya kumkaribisha katika chuo hicho tangu kuteuliwa kwake kukiongoza chuo hicho.
 Mmoja wa wahitimu akipokea zawadi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Moshi Chang'a.



No comments: