Mmoja kati ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Mjini Tabora TUWASA,Sara Gela akipokea zawadi ya mfanyakazi bora katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. |
Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi.Anna Magoha wakati akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tabora katika sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. |
Baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA tawi la Tabora |
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Tabora Bw.Fanuel Senge (kulia)akiwa anasikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi iliyosomwa na mkuu wa wilaya ya Urambo. |
Mmoja wa wafanyakazi wa Tuwasa, Sara Gela akiwa amepokea zawadi zake kutoka kwa wafanyakazi wenzake wa Tuwasa ambao walimpongeza baada ya kutajwa kuwa ni mfanyakazi bora wa mwaka 2011-2012.
No comments:
Post a Comment