Kaimu
mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bi Mwnantum Mahiza akitoa hotuba wakati wa sherehe
za MEI MOSI leo zilofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam
ambapo kitaifa sherehe hizo zimefanyikia mkoani Tanga mgeni rasmi akiwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete.Kushoto ni Mwenyekiti wa
TUCTA mkoa wa Dar es salaam Bw Hassan Kaumo.
(PICHA NA
PHILEMN SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Wafanyakazi
kutoka Vyama mbalimbali vya wafanyakazi wakiwa wamefurika katika viwanja vya
mnazi mmoja kusherekea MEI MOSI leo huku watu wengine wakijaribu kuingia katika
viwanja hivyo kama wanavyoonekana katika uzio.
Baadhi ya
wafanyakazi wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakisubiri kuanza kwa sherehe
hizo jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment